> HADITHI ZA WATOTO

HADITHI ZA WATOTO

 

Bwana Twiga







Bwana Twiga, Bwana Twiga,

Kwa nini shingo yako ni ndefu sana?

Ulipoumbwa ilikuwa ni utani,

Au shingo yako ni kosa kweli?

Au unahitaji kuifikia

Mijani ya miti mirefu, mirefu sana?

Haiingii akilini, maana unapokunywa

Lazima upige magoti chini kabisa!



Mbuzi Mkongwe


Rose ana mbuzi.

Ni mbuzi mkongwe.

Ana mbuzi watoto.

Rose aliwauza mbuzi watoto.



Nina Chura Mdogo


Nina chura mdogo,

Jina lake ni Tiny Tim.

Nilimweka kwenye bafu,

Kuona kama anaweza kuogelea.


Alikunywa maji yote.

Alikula sabuni yote.

Na alipojaribu kuzungumza,

Alikuw

a na kiputo kooni.



Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi