> FAHAMU MASOMO YA MTAALA MPYA NA WA ZAMANI YANAYO PASWA KUFUNDISHWA

FAHAMU MASOMO YA MTAALA MPYA NA WA ZAMANI YANAYO PASWA KUFUNDISHWA

 FAHAMU MASOMO YA MTAALA MPYA NA WA ZAMANI YANAYO PASWA KUFUNDISHWA 



(A) MTAALA MPYA


 1.AWALI MASOMO-06 

-Kutumia stadi za awali za kihisabati,sayansi na Tehama

-Kuthamini utamaduni wa jamii yake,elimu ya Imani na Tunu za Taifa

-Kuhusiana

-Kumudu stadi za awali za lugha na mawasiliano

-Kumudu stadi za kisanii,ubunifu na michezo

-Kutunza Afya na mazingira


 2.DARASA -1 MASOMO-07

-Kutunza Afya na mazingira 

-Demonstrate mastery of Basic English language skills 

-Kuandika

-Kuhesabu

-Kuthamini Utamaduni Sanaa na michezo

-Kusoma


 3.DARASA -2 MASOMO -07

-Kutunza Afya na mazingira 

-kuandika 

-Kuhesabu 

-Kusoma 

-Kuthamini utamaduni, Sanaa na michezo 

-Demonstrate mastery of Basic English language skills 


 4.DARASA 3 MASOMO -07

-Kiswahili

-English

-Sayansi 

-Historia ya Tanzania na Maadili

-Hisabati

-Jiografia na mazingira 

-Sanaa na michezo


 5.DARASA 4 MASOMO-07

-Sanaa na michezo

-English

-Jiografia na mazingira

-Historia ya Tanzania na Maadili

-Kiswahili

-Hisabati

-Sayansi


(B) MADARASA YA MTAALA WA ZAMANI NA MASOMO YAKE


6. DARASA 5 MASOMO-07

-Maarifa ya jamii

-Uraia na maadili

-Sayansi na Teknolojia

-Hisabati

-kiswahili

-English

-Stadi za kazi


7. DARASA 6 MASOMO-07

-Maarifa ya jamii

-Uraia na maadili

-Sayansi na Teknolojia 

-Hisabati 

-Kiswahili

-English

-Stadi za kazi 


8 .DARASA 7 MASOMO-07

-Kiswahili

-Stadi za kazi

-Sayansi na Teknolojia 

-English

-Hisabati 

-Maarifa ya jamii 

-Uraia na maadili 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi